- 7,489 viewsDuration: 2:45Baada ya kusikia simulizi ya Nduta Mbogori kuhusu jinsi anavyoishi na ugonjwa wa Parkinson, Dkt. Rahel Leonard Kilimba anaelezea kwa undani zaidi ugonjwa huo, ikiwemo chanzo chake, walio katika hatari kubwa ya kuupata, pamoja na matibabu yanayosaidia kudhibiti dalili zake, katika mahojiano na Elizabeth Kazibure. 🎥@brianmala - #bbcswahili #kutetemeka #waridi #wanawake #fypシ゚viral #foryou Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw