Unyanyapaa waathiri usajili kaskazini mwa Kenya

  • | Citizen TV
    156 views

    Unyanyapaa na ukosefu wa taarifa umeendelea kuwa sababu kuu za watu wengi walemavu kukosa kujisajili kwa mpango wa kuwasaidia walemavu haswa maeneo ya kaskazini mwa kenya.