5 Mar 2026 1:43 pm | Citizen TV 370 views Duration: 2:31 Serikali ya kaunti ya Nyandarua inapanga kuanza kutumia mabwawa yaliyoanzishwa wakati wa ukoloni kwa unyunyiziaji maji mashamba ili kuimarisha uzalishaji wa chakula.