- 179 viewsWakazi wa ngurumani, kijiji cha Kongo, Kajiado magharibi, wameonesha kuwa kilimo kinaweza kustawi hata katika mazingira magumu. Kupitia matumizi ya maji ya unyunyiziaji yanayotoka milimani, wakulima wa eneo hili wamebadilisha maisha yao na kukuza uchumi wa jamii