Unyunyuziji wa maji umeanza katika mashamba mengi Garissa

  • | Citizen TV
    117 views

    Wizara za kilimo na ya maji zimeshirikiana kuanzisha mradi wa unyunyiziaji maji shambani kwa wakulima wa kaunti ya Garissa ili kukabiliana na uhaba wa chakula katika maeneo kame nchini.