Uongozi shirikishi : Wanawake wahimizwa kuwania nyadhifa za uongozi

  • | KBC Video
    15 views

    Mashirika ya elimu jamii katika kaunti ya Homa Bay yameandaa warsha ya wadau katika eneo la Kendu Bay kuratibu mikakati ya kuongeza ushirikisgi wa wanawake katika masuala ya uongozi. Mkurugenzi mkuu wa shirika la Inuka Community Developers Network, Lydia Hongo amekariri umuhimu wa kutambua mchango wa kina mama katika jamii akisema kampeni hiyo itachagiza wanawake zaidi kujitokeza kuwania nyadhifa za uongozi. Alisema kuwa ipo haja kubadili dhana kuhusu uongozi wa kina mama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive