Uongozi wa LSK umetaja serikali kuwa njaa ya kupuuza amri ya mahakama nchini

  • | West TV
    28 views
    Rais wa chama cha mawakili nchini lsk eric theuri anahofia huenda taifa likashuhudia vurugu iwapo serikali itaendelea kupuuza amri za mahakama na kuendelea na ubomozi wa mali ya wakazi kiholela bila kuzingatia sheria