Upanzi wa mimiea kwenye barabara kuu ya Nairobi Express

  • | K24 Video
    34 views

    Mamlaka ya barabara kuu humu nchini imejitetea kuhusu upanzi wa mimea kwa njia ya kisasa ya utumizi wa maji yaani hydroponics, kwenye barabara kuu ya Nairobi Express. Mamlaka hiyo imesema kuwa mimea hiyo ilikuwa njia moja ya kujaribu mbinu za kisasa za kunadhifisha na kuliremba jiji kwa rangi ya kijani