Skip to main content
Skip to main content

Upasuaji wa maiti wa Dkt. Sonnia Nzilani waonyesha alivuja damu nyingi moyoni

  • | Citizen TV
    6,334 views
    Duration: 1:43
    Upasuaji wa maiti ya aliyekuwa waziri wa Kaunti ya Makueni ambaye alipatikana amefariki nyumbani kwake Makindu Daktari Sonnia Nzilani, ulionesha kuwa alifariki kutokana na shinikizo la damu moyoni lililosababisha mpasuko na kutokwa na damu nyingi kwa ndani .