Upepo mkali wapaisha maji juu pwani ya Italia

  • | BBC Swahili
    283 views
    Tazama kimbunga kilichotokea juu ya maji huko pwani ya Italia kilivyosababisha mikondo hii miwili mikubwa ya mvuke wa maji kuelekea juu. Hii inatokea kutokana na upepo mkali uliosaidia mikondo hii ya maji kuungana. Msimamizi wa boti ya watalii wa mkoa huo alisitisha safari yake ili aweze kurekodi tukio hili la kipekee na la kushangaza. Mito ya mvuke wa maji hutokea mara kwa mara barani Ulaya, takriban mara 500 kila mwaka kulingana na takwimu za hali mbaya ya hewa Ulaya. #bbcswahili #italia #haliyahewa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw