Upinzani kuandikia umoja wa mataifa kuhusu ukabila serikalini

  • | K24 Video
    142 views

    Muungano wa azimio sasa unawataka wakenya kupuuza uamuzi wowote utakaotolewa na bunge endapo mswada wa fedha wa 2023 utapitishwa kama ulivyo. Kinara wa Azimio Raila Odinga amesema wakenya wana uwezo wa kuchukua mamlaka yao kutoka kwa wabunge endapo watakwenda kinyume na matakwa yao kama wawakilishi wao. muungano huo pia umetishia kuandikia umoja wa mataifa kuhusu ubaguzi na ukabila unaoendelea serikalini.