Upinzani na wanaharakati wamtaka Lagat akamatwe

  • | Citizen TV
    2,283 views

    Viongozi Wa Upinzani na Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wamemtaka Naibu Insepkta jenerali wa Polisi Eliud Lagat na OCS wa Kituo cha polisi cha central Samson Talam Kukamatwa pamoja kama washukiwa wakuu katika mauaji ya mwanablogu Albert Ojwang. viongozi hao wanasema kuwa Sharti Lagat Ajiuzulu na Kukamatwa kujibu tuhuma za kutoa amri ya kukamatwa kwa Albert Ojwang.