- 937 viewsDuration: 3:24Viongozi wa umoja wa upinzani wameapa kupinga matokeo ya chaguzi ndogo za Mbeere Kaskazini na Malava mahakamani. Viongozi hao wakiwemoKalonzo Musyoka wa Wiper na Justin Muturi wa DP, wamesema ghasia zilizoshuhudiwa zilipangwa ili kuwatishia wapiga kura na kubadilisha matokeo. Walizunguza wakati wa hafla ya mazishi ya mwanasiasa wa zamani aliyekuwa pia waziri Joseph Munyao huko kaunti ya makueni. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive