Upinzani umeendelea kuhusu mfumo wa serikali wa malipo ya karo e-citizen

  • | Citizen TV
    145 views

    Mbunge wa Lagdera Abdikadir Hussein amekosoa njia mfumo unaopigiwa upatu na serikali wa kulipa karo kupitia kwa mtandao wa e-citizen akisema mfumo huo utatatiza shughuli za kila siku katika shule nyingi.