Skip to main content
Skip to main content

Upinzani waahidi kusalia pamoja na kumbwaga Ruto 2027

  • | Citizen TV
    3,169 views
    Duration: 2:40
    Umoja wa Upinzani umetangaza kwamba utaunga mkono mmoja wao atakayepambana na rais william Ruto kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka wa 2027. Wakihudhuria mkutano maalum wa kitaifa wa wajumbe wa chama cha Peoples Liberation Party, PLP, ulioongozwa na kinara wake Martha Karua, Viongozi hao wa upinzani waliapa kusalia pamoja licha ya njama ya kuwatawanya.