- 5,591 viewsDuration: 2:49Viongozi wa upinzani wametishia kuandaa maandamano nchini iwapo serikali na asasi za usalama hazitawakamata wale waliopanga na kutekeleza mashambulizi kanisani Othaya wiki iliyopita. Viongozi hao waliozuru kaunti za muranga na nyeri wameapa kushinikiza kukamatwa kwa wahusika wakitaja mashambulizi ya kanisani kuwa yaliyopangwa na serikali.