Upinzani wamshutumu Rais Ruto kwa kufunga mashirika 47

  • | TV 47
    764 views

    Uamuzi wa rais William Ruto wa kuvunjilia mbali jumla ya mashirika 47 ya serikali umepata hisia mseto kutoka kwa upinzani ambao sasa unadai kuzingatiwa kwa katiba ya kenya kabla ya uamuzi wowote kufanywa. Upinzani unasema hatua hiyo inahitaji mchakato wa bunge la kitaifa kwani mashirika hayo yaliundwa kupitia sheria ya bunge, na hivyo rais hawezi kukiuka sheria.

    #UpeoWaTV47

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __