Upinzani wamtaka jaji mkuu Martha Koome kuwa makini

  • | Citizen TV
    7,182 views

    Kinara wa Azimio Raila Odinga amemuonya jaji Mkuu Martha Koome dhidi ya kufanya mkutano na rais William Ruto kuhusu utendakazi wa idara ya Mahakama. Raila sasa akisema kuwa mkutano wowote wa aina hii utahujumu uhuru wa idara hiyo. Aidha, kinara mwenza wa Azimio Kalonzo Musyoka pia akiapa kuwa upinzani hautaruhusu utendakazi wa mahakama kuingiliwa