Upinzani wapendekezea tume maalum kufanya mageuzi katika idara ya mahakama

  • | K24 Video
    104 views

    Upinzani umependekezea tume maalum kufanya mageuzi katika idara ya mahakama ili kukabilana na ufisadi na sio jukumu la serikali. Kinara Raila Odinga amekosoa uwepo wa maspika katika kikao kati ya serikali na mahakama akidai ni ukiukaji wa sheria. Akizungumza katika hafla ya kusajili wanachama wapya wa ODM Kilifi Odinga, amekashifu vikali mabunge yote mawili seneti na taifa kwa kushikwa mateka na afisi ya rais, na kueleza wanaendesha shughuli zao kinyume na sheria