- 4,646 viewsDuration: 3:09Viongozi wa upinzani sasa wanataka bunge kutupilia mbali mswada wa hazina ya kitaifa ya miundomsingi, wakisema kuanzishwa kwa hazina hiyo ni kinyume na sheria. Viongozi hao wakiongozwa na kinara wa DCP Rigathi Gachagua na mwenzake wa Wiper Kalonzo Musyoka kwenye kikao na wanahabari pia wametilia shaka ujenzi wa uwanja mpya wa ndege wakidai serikali inalenga kumrejesha mwekezaji wa kampuni ya Adani.