- 5,141 viewsDuration: 1:57Umoja wa Upinzani Rigathi Gachagua, Kalonzo Musyoka, Eugene Wamalwa na Justin Muturi, wanaitaka bunge la taifa kupinga Mswada wa hazina ya taifa mwaka wa 2026, wakidai kwamba ni kinyume na sheria. Aidha, viongozi hao wakihutubia wanahabari, walidai kwamba kuna njama ya kurejesha mwekezaji wa kibinafsi Adani, kupitia ujenzi wa uwanja mpya wa ndege wa kimataifa.