Skip to main content
Skip to main content

Upinzani wasema serikali inauza mali ya umma kiholela

  • | Citizen TV
    3,737 views
    Duration: 2:57
    Muungano wa upinzani umeikosoa serikali ukidai kwamba inauza mali ya umma bila ya kushirikisha maoni ya wananchi. viongozi wa muungano huo wakitoa taarifa ya mwaka wameilaumu pia tume ya IEBC wakisema ilishindwa kuandaa uchaguzi mdogo ulio huru na wa haki. Aidha , wamesema wataelekea mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi wa maeneobunge ya Malava kaunti ya Kakamega na Mbeere North kaunti ya Embu.