- 1,803 viewsDuration: 2:23Nipe nikupe kuhusu mpango wa kuuzwa kwa hisa za Kampuni ya Safaricom kwa Vodafone Kenya inaendelea kuchacha huku Upinzani sasa ukitishia kusimamisha mchakato huo kupitia mahakama. Upinzani unadai kwamba wakenya hawajahusishwa katika mpango huo wa serikali kuuza asilimia 15 ya hisa zake milioni sita za Safaricom wakisema malipo yake ni ya chini mno