Skip to main content
Skip to main content

Upinzani watishia maandamano kufuatia shambulizi la Gachagua Nyeri

  • | Citizen TV
    10,685 views
    Duration: 2:41
    Muungano wa upinzani umetishia kuandaa maandamano kote nchini katika wiki mbili zijazo, iwapo idara ya polisi haitawachukulia hatua maafisa wa polisi waliomshambulia kinara wa DCP Rigathi Gachagua akiwa kanisani katika kaunti ya Nyeri. Wakizungumza baada ya mkutano na inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja jijini Nairobi, viongozi hao walikashifu visa vya kutishiwa maisha wakiwataka polisi kuwajibishwa