Uporaji wa SH: Rais Ruto asema hospitali zitafunguliwa mashtaka

  • | Citizen TV
    1,039 views

    Rais William Ruto amesema hospitali elfu moja ambazo leseni zao zimefutwa kwa kujaribu kunufaika kwa udanganyifu kupitia Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA) zitafunguliwa mashtaka