Urusi haihesabu askari waliofariki vitani

  • | BBC Swahili
    4,516 views
    Urusi mara chache huweka taarifa kuhusu kupoteza kwake kijeshi. Lakini uchunguzi uliofanywa na BBC umebainisha zaidi ya wapiganaji 25,000 wa Urusi wamefariki, ikiwa ni idadi ya juu kuliko takwimu rasmi za Moscow. #bbcswahili #urusi #ukraine