Usafiri katika barabara ya Nairobi Expressway zarejea kawaida

  • | Citizen TV
    3,468 views

    Shughuli katika barabara kuu ya Nairobi expressway jijini Nairobi zimerejea kama kawaida, baada ya kufungwa kwa muda baada ya maandamano ya jumatano iliyopita. Vifaa katika baadhi ya vituo vya barabara hii viliharibiwa, japo kufikia sasa vimetengezwa kutoa nafasi kwa shughuli kuendelea. Mary Muoki alirejea kwenye barabara hii na kuandaa taarifa ifuatayo