Usafiri wakatizwa kwenye barabara ya Wamba-Maralal baada ya mvua kubwa

  • | Citizen TV
    610 views

    Usafiri umekatizwa katika barabara kuu ya Wamba kuelekea Maralal kaunti ya Samburu, baada ya mvua kubwa kusababisha mto Parsilinga kufurika. Madereva na wasafiri walilazimika kukesha kando ya magari waliyoegesha wakisubiri maji yapungue.