Usajili kwa bima ya afya ya SHIF kuanza mwezi ujao

  • | Citizen TV
    198 views

    Huku usajili wa wananchi katika hazina ya afya ya jamii ukitarajiwa kuanza katikati ya mwezi ujao, wadau katika sekta ya afya kutoka hospitali za umma na za kibinafsi walikutana kutoa mapendekezo ya jinsi ya kuwaelimisha wananchi pamoja na wanaotoa huduma hizi kuhusu hazina hiyo.