24 Sep 2025 1:47 pm | Citizen TV 315 views Duration: 1:30 Wadau kutoka sekta ya usalama maeneo ya mpaka ya Turkana na Pokot magharibi wamekongamana mjini Lodwar kutathmini hatua zilizopigwa kuzuia wizi wa mifugo.