Skip to main content
Skip to main content

Ushirikiano wa Nairobi: Kamati simamizi kuhusu Nairobi inaanza vikao vyake

  • | Citizen TV
    1,090 views
    Duration: 3:31
    Kamati maalum ya kuboresha utendakazi wa kaunti ya Nairobi sasa inasema itatenga shilingi bilioni 25 kusaidia katika kushughulikia miundo msingi jijini. Gavana Johnson Sakaja aliyeongoza kikao cha kwanza cha kamati hiyo amesema pesa hizo zitasaidia kushughulikia miundo msingi ambayo imesababisha kufurika kwa mara kwa mara kwa jiji.