Skip to main content
Skip to main content

Ushujaa wa Lt. Jen. Mstaafu Ismael Opande

  • | Citizen TV
    16,788 views
    Duration: 6:34
    Aliwahi kuwaongoza maelfu ya wanajeshi katika mataifa ya Afrika yaliyokumbwa na vita. Alijadiliana na waasi na kusaidia kurejesha amani katika maeneo ambayo yalishuhudia mapigano makali.. Tunamzungumzia Luteni Jenerali Mstaafu Ismael Daniel Opande. Miaka ishirini na moja tangu kustaafu kutoka kwenye jeshi, kamanda huyu wa zamani anaishi maisha ya utulivu katika kijiji cha Mukumu, mjini Eldoret. Hata hivyo juhudi zake za kuleta amani barani Afrika bado zinaenziwa. Mwanahabari wetu Walter Nyambaga alikutana na Luteni Jenerali Mstaafu Ismael Opande, na hii hapa simulizi yake