Skip to main content
Skip to main content

Utafiti wa dhahabu wafanywa eneo bunge la Teso, Busia

  • | Citizen TV
    1 views
    Serikali ya kitaifa inapania kujenga kiwanda cha kusafisha dhahabu katika kaunti ya Kakamega ili kuongeza thamani ya madini hayo kabla ya kuuzwa.