Skip to main content
Skip to main content

Utafiti wa Infotrak: Ruto aongoza mbio za urais

  • | Citizen TV
    4,960 views
    Duration: 2:58
    Utafiti wa hivi punde uliofanywa na kampuni ya Infotrak unaonyesha kuwa Rais William Ruto bado anaongoza miongoni mwa wanaowania urais kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao. Tathmini hiyo ya kitaifa kuhusu mwelekeo wa kisiasa nchini inaonyesha kuwa Ruto anaungwa mkono na asilimia 32 ya wapiga kura. Wakati huo huo, Naibu Rais Kithure Kindiki ndiye chaguo la wengi kuwa mgombea mwenza wa Rais Ruto.