Utamaduni wa Kung'oa Meno | Kwa nini jamii ya wasamburu hung'oa meno mawili ya chini?

  • | Citizen TV
    526 views

    Utamaduni wa kung'oa meno Jamii ya wasamburu hung'oa meno mawili ya chini Mwanya hutoa nafasi ya kumwekea mgonjwa dawa Wazee wa jamii ya wasamburu hung'olewa meno mawili Wavulana samburu hung'olewa meno wakiwa na miaka 14 Wazazi huwatuza waliovumilia kung'olewa meno mawili