Skip to main content
Skip to main content

Utamaduni wa Wahadzabe

  • | BBC Swahili
    2,521 views
    Duration: 1:22
    Wakati maeneo mengi duniani yakitegemea kilimo na chakula cha mezani, kabila la Wahadzabe wa Tanzania bado wanategemea pori kama chanzo chao kikuu cha maisha. Kwao, uwindaji si tu njia ya kujipatia chakula, bali ni utamaduni, utambulisho na urithi wa mababu zao. Katika makala hii ya video, @sammyawami anaingia ndani ya maisha ya Wahadzabe, akifuatana nao katika safari ya kuwinda kitoweo porini. Kuanzia kufuatilia nyayo za mawindo hadi kushuhudia mbinu zao za jadi za uwindaji, anafichua namna jamii hii ya kipekee imeendelea kuhifadhi maarifa na mila zilizopitishwa kwa vizazi vingi licha ya mabadiliko makubwa ya dunia ya kisasa. - - 🎥@Bosha_Nyanje @brianmala @mtenganicholaus #bbcswahili #wahadzabe #tanzania #uwindaji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw