Utendakazi wa mahakama ya kushughulikia maswala uajiri na wafanyikazi wasifiwa

  • | KBC Video
    13 views

    Mahakama ya kushughulikia maswala uajiri na wafanyikazi imepongezwa kwa kushughulikia mrundiko wa kesi zilkizokuwa katika mahakama hiyo kwa kiwango cha asilimia 161. Jaji mkuu Martha Koome ambaye alikuwa akiongoza uzinduzi wa siku maalum ya idara ya mahakama alielezea kujitolea kwa idara ya mahakama katika kushughulikia haraka kesi zilizoko mbele yake. Ruth Wamboi anatuarifu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #labourcourts #darubini