Utoaji wa njia mbadala za kiuchumi kwa Watanzania utasaidia kutunza mazingira

  • | VOA Swahili
    57 views
    Kutoa njia mbadala za kiuchumi kwa wananchi hasa ambao shughuli zao zinaathari za moja kwa kwa moja kwenye mazingira inaelezwa kuwa njia zitakazo saidia jitihada za utunzaji wa Mazingira katika maeneo mengi huko Tanzania #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.