Utulivu washuhudiwa mjini Mombasa,biashara zarejelewa

  • | KBC Video
    40 views

    Hali ya kawaida inarejea polepole katika mji wa bandari wa Mombasa baada ya ghasia zilizoshuhudiwa wakati wa maandamano dhidi ya serikali mnamo Jumanne. Biashara kadhaa zilifunguliwa huku nyingine chache zikifungwa kutokana na hofu ya maandamano na uharibifu. Usalama uliimarishwa huku polisi wakishika doria mjini humo. Mwanahabari wetu Ann Mburu anatuarifu jinsi hali ilivyokuwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive