Utunzi wa mfumo ikolojia wahimizwa nchini

  • | KBC Video
    2 views

    Mikakati mwafaka ya utunzaji mazingira inatekelezwa huko Elgeyo Marakwet huku wanamazingira wakishirikiana kuboresha msitu wa Kaptagat ili kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa. Wadau katika masuala ya mazingira wameanzisha harakati kabambe za kupanda miti zinazolenga kuhifadhi chemichemi hii muhimu ya maji na kurejesha ardhi ya misitu iliyoharibiwa.Timothy Kipnusu alizuru msitu wa Kaptagat na anatuletea taarifa ifuatayo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive