Skip to main content
Skip to main content

Utunzi wa Watoto: Mtaala mpya wa mafunzo kuzinduliwa

  • | KBC Video
    15 views
    Duration: 2:27
    Halamshauri ya kitaifa ya mafunzo ya viwandani, (NITA) pamoja na Kamati ya Kimataifa ya Uokoaji zimetia saini mkataba wa maelewano ambao utawezesha kubuniwa kwa mtaala kuhusu utunzi wa watoto pamoja na utambuzi wa weledi katika taaluma hiyo. Mradi huo unalenga kuimarisha upatikanaji nafasi za ajira na kuwezesha jamii hususan ukilenga wakimbizi na jamii zinazowapa hifadhi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive