Skip to main content
Skip to main content

Uvamizi wa wanyama porini wadhuru elimu na kilimo kisiwa cha Manda

  • | Citizen TV
    333 views
    Duration: 1:51
    Shughuli za elimu, kilimo na usafiri zimeathirika katika Kisiwa cha Manda kaunti ya Lamu kutokana na uvamizi wa wanyama pori. Wananyama hao wanaojumuisha nyati zaidi ya 500, chui, fisi na mbwa mwitu wanawahangaisha wakazi na kuvamia mashamba na shule. wakazi hao sasa wanataka wanyama hao wahamishwe wakisema kuwa wanaishi kw auwoga.