Uwanja wa Baba Dogo wapata uhai kufuatia mafanikio ya Harambee stars kwenye CHAN

  • | Citizen TV
    1,601 views

    MATOKEO YA KUVUTIA YA HARAMBEE STARS KWENYE KIVUMBI CHA CHAN 2024 HAYAJAKUWA TU FAHARI YA TAIFA NZIMA BALI PIA YAMEFUFUA MATUMAINI YA KULINDA UWANJA WA KIHISTORIA WA KIJAMII WA BABA DOGO. MASHINDANO HAYO YAMECHOCHEA WITO WA KULINDA VIPAJI VMAVYOEDELEA KUKUZWA KWENYE UWANJA HUO AMBAO UMETOA WACHEZAJI NYOTA WA SOKA NCHINI. WACHEZAJI WA HARAMBEE STARS NA JAMII YA BABA DOGO WAMETUMIA MICHEZO YA CHAN KUHAKIKISHA KUWA UWANJA HUO UNASALIA MIKONONI MWA UMMA