Uwekezaji katika teknolojia unahitajika kuweza kuzuia upotoshaji, uongo
Pamoja na kuenea kwa taarifa za uongo kwenye mitandao ya kijamii, Armando Nhantumbo mwandishi wa habari wa Msumbiji wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) anasema uwekezaji katika teknolojia unahitajika kwenye vyumba vya habari kuelekeza wanahabari jinsi ya kukabiliana na upotoshaji pamoja na habari za uongo.
(Armando Nhantumbo wa Media Institute of Southern Africa anaeleza:
“Shukrani kwa teknolojia, tunapata taarifa zaidi, na tunaweza kushiriki zaidi na zaidi katika masuala ya utawala ambayo ilikuwa ngumu miaka 30 iliyopita. Kinachotokea ni pamoja na faida hizi, lakini kuna hasara pia. Mojawapo ya ubaya ni kutoijua habari.”
MISA Msumbiji inatoa huduma za kuangalia ukweli na kutoa mafunzo kwa waandishi wa habari, Nhantumbo anasema.
Armando Nhantumbo, Media Institute of Southern Africa anasema:
“Kuna vyombo vya kidijitali vinavyotusaidia kufanya hili na sisi MISA Msumbiji tumekuwa tukiandaa mafunzo kwa wanafunzi wa uandishi wa habari, waandishi wa habari na mashirika ya kiraia juu ya jinsi ya kutumia majukwaa haya.”
Kwa vile jamii inategemea zaidi mitandao ya kijamii kwa habari, watetezi wa vyombo vya habari wanasema kazi kama ya Evidencias na MISA Msumbiji itakuwa chombo chenye nguvu katika kuhabarisha umma kwa usahihi na uwazi.
#MISA #KusinimwaAfrika #msumbiji #maputo #waandishi #armandonhantumbo #mediainstituofsouthafrica #voa #voaswahili #habaripotofu #upotoshaji #voa #voaswahili
7 Aug 2025
- The late MP was a trailblazer on many fronts.
7 Aug 2025
- The operation was a joint effort between police and KWS.
7 Aug 2025
- The arrests were made during an operation on Wednesday night.
7 Aug 2025
- Two families in Mlolongo, Machakos County, are in anguish months after their kin disappeared under mysterious circumstances.
7 Aug 2025
- Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
7 Aug 2025
- A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
7 Aug 2025
- The late MP was a trailblazer on many fronts.
7 Aug 2025
- The operation was a joint effort between police and KWS.
7 Aug 2025
- The arrests were made during an operation on Wednesday night.
7 Aug 2025
- CBK is expected to respond to the bankers' request next week on Tuesday.
7 Aug 2025
- They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
7 Aug 2025
- The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
7 Aug 2025
- By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project