Uwekezaji kaunti ya Machakos

  • | Citizen TV
    165 views

    Serikali ya Kaunti ya Machakos imetenga shilingi milioni 250 za ukuzaji wa viwanda na kuboresha masoko ya bidhaa katika kaunti ya machakos na nje ya nchi. Maswala haya yalijadiliwa kwa kina katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Machakos kwa muongozo wa gavana wa kaunti hiyo Wavinya Ndeti.