'Uwezo wa miundombinu tunao AFCON'

  • | BBC Swahili
    450 views
    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amepokea hati ya mashirikiano 'Pamoja Bid' yenye lengo la kuziwezesha Tanzania, Kenya na Uganda kuwa mwenyeji wa michuano ya ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2027. Iwapo Mataifa hayo matatu yatapata nafasi hiyo, itakuwa ni mara ya kwanza kufanyika kwa michuano hiyo katika Ukanda wa Afrika Mashariki tangu yalipoanzishwa rasmi mwaka 1957. Rais wa Shirikisho la Soka nchini Tanzania, Wallace Karia ameiambia BBC mataifa hayo yapo tayari. #bbcswahili #tanzania #afcon