Viazi vinavyodaiwa kupunguza umaskini kaskazini mwa China

  • | BBC Swahili
    719 views
    Katika mkoa wa Hebei uliopo huko Zhangbei kaskazini mwa China, unasemekana umeondokana na umaskini baada ya Rais Xi kupendekeza wakulima kubadilisha aina ya viazi walivyokuwa wakipanda Hii inakuja baada ya vyombo vya habari vya serikali kuelezea mabadiliko ya kushangaza ambayo yanasemekana kutokea katika miji ya masikini ikiwa ni katika kuelezea sifa za rais Xi Jinping wakati huu ambao anatarajiwa kupewa muhula wa tatu wa kihistoria madarakani #bbcswahili #china #xijinping