Vifaa vya matibabu vyaanza kusambazwa Samburu

  • | Citizen TV
    190 views

    Vifaa vya matibabu vimeanza kusambazwa katika hospitali za mashinani katika kaunti ya Samburu ili kufanikisha mango wa afya bora kwa wote .Haya ni huku ikibainika kuwa hospitali nyingi za maeneo kame zimesalia nyuma na hivyo kulemaza huduma za matibabu.