Skip to main content
Skip to main content

Vifo na mashambulizi yanazidi kueneza hofu Nairobi na Nakuru

  • | Citizen TV
    3,229 views
    Duration: 2:53
    Huku jiji la Nairobi likiendelea kushuhudia ongezeko la visa vya uhalifu, haswa vinavyohusisha magenge ya wahuni walioabiri boda boda, huko Nakuru taswira ya utovu wa usalama pia inashuhudiwa. Tangu mwaka ulipoanza, watu watatu wameuawa na wengine 38 kudungwa visu baada ya kuvamiwa na wezi mjini humo. Na hapa Nairobi, mkutano wa dharura wa wakuu wa usalama umefanyika