Skip to main content
Skip to main content

Vijana 15 wa mitaani wafariki Nairobi, wenzao wajumuiika kwenye mazishi

  • | Citizen TV
    10,832 views
    Duration: 2:44
    Vijana wa mitaani wamekusanyika pamoja hapa Nairobi, baada ya mazishi ya wenzao waliofariki kwa njia tofauti wakiwa mitaani. Vijana saba tayari wamezikwa huku wengine bado wakisubiri kuandaliwa mazishi. Vijana wapatao 15 wameuawa katika hali tofauti katika siku za hivi karibuni, huku wenzao sasa wakitaka serikali kuingilia kati kuwaokoa